Zaburi 37:39-40
Zaburi 37:39-40 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu huwaokoa waadilifu, na kuwalinda wakati wa taabu. Mwenyezi-Mungu huwasaidia na kuwaokoa; huwatoa makuchani mwa waovu na kuwaokoa, maana wanakimbilia usalama kwake.
Shirikisha
Soma Zaburi 37Zaburi 37:39-40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wokovu wa wenye haki una BWANA; Yeye ni ngome yao wakati wa taabu. Naye BWANA huwasaidia na kuwaopoa; Huwaopoa kutoka kwa wasio haki na kuwaponya; Kwa kuwa wamemtumaini Yeye.
Shirikisha
Soma Zaburi 37