Zaburi 42:1-2
Zaburi 42:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu. Nafsi yangu inamwonea kiu MUNGU, Mungu aliye hai, Lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu?
Shirikisha
Soma Zaburi 42Zaburi 42:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama paa atamanivyo maji ya kijito, ndivyo ninavyokutamani, ee Mungu wangu! Naona kiu ya Mungu, kiu ya Mungu aliye hai. Nitafika lini kwake na kuuona uso wake?
Shirikisha
Soma Zaburi 42