Zaburi 51:11
Zaburi 51:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Usinitenge na uso wako, Wala roho yako mtakatifu usiniondolee.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Usinitupe mbali nawe; usiniondolee roho yako takatifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51