Zaburi 51:17
Zaburi 51:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika; Moyo uliovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hutaudharau.
Shirikisha
Soma Zaburi 51Zaburi 51:17 Biblia Habari Njema (BHN)
tambiko yangu kwako ee Mungu, ni moyo mnyofu; wewe, ee Mungu, hukatai moyo mnyofu na mtiifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 51