Zaburi 56:3-4
Zaburi 56:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe; Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:3-4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe; Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu Mkuu, hofu inaponishika, mimi nakutumainia wewe. Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 56