Zaburi 56:4
Zaburi 56:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 56Zaburi 56:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Shirikisha
Soma Zaburi 56