Zaburi 58:3
Zaburi 58:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo.
Shirikisha
Soma Zaburi 58Zaburi 58:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Waovu wamepotoka tangu kuzaliwa kwao, waongo hao, wamekosa tangu walipozaliwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 58