Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 68:34 - Linganisha Matoleo Yote

Zaburi 68:34 BHN (Biblia Habari Njema)

Itambueni nguvu kuu ya Mungu; yeye atawala juu ya Israeli, enzi yake yafika katika mbingu.

Shirikisha
Zaburi 68 BHN

Zaburi 68:34 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Mhesabieni Mungu nguvu; Enzi yake i juu ya Israeli; Na nguvu zake zi mawinguni.

Shirikisha
Zaburi 68 SUV

Zaburi 68:34 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Mhesabieni Mungu nguvu; Enzi yake imo juu ya Israeli; Na nguvu zake ziko mawinguni.

Shirikisha
Zaburi 68 SRUV

Zaburi 68:34 NEN (Neno)

Tangazeni uwezo wa Mungu, ambaye fahari yake iko juu ya Israeli, ambaye uwezo wake uko katika anga.

Shirikisha
Zaburi 68 NEN