Zaburi 88:1-2
Zaburi 88:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, mwokozi wangu, ninalia mchana kutwa, na usiku nakulalamikia. Sala yangu ikufikie, usikilize kilio changu.
Shirikisha
Soma Zaburi 88Zaburi 88:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, Mungu wa wokovu wangu Mchana na usiku nimelia mbele zako. Maombi yangu yafike mbele zako, Ukitegee kilio changu sikio lako.
Shirikisha
Soma Zaburi 88