Zaburi 95:1-2
Zaburi 95:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njoni, tumwimbie BWANA, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu. Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
Shirikisha
Soma Zaburi 95Zaburi 95:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Njoni tumwimbie Mwenyezi-Mungu, tumshangilie mwamba wa wokovu wetu! Twende mbele zake na shukrani; tumshangilie kwa nyimbo za sifa.
Shirikisha
Soma Zaburi 95