Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 95:11 - Linganisha Matoleo Yote

Zaburi 95:11 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, nilikasirika, nikaapa: ‘Hawataingia mahali pangu pa pumziko!’”

Shirikisha
Zaburi 95 BHN

Zaburi 95:11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nikaapa kwa hasira yangu Wasiingie rahani mwangu.

Shirikisha
Zaburi 95 SUV

Zaburi 95:11 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ndipo Nikaapa kwa hasira yangu Hawataingia katika pumziko langu.

Shirikisha
Zaburi 95 SRUV

Zaburi 95:11 NEN (Neno)

Hivyo nikatangaza kwa kiapo katika hasira yangu, “Kamwe hawataingia rahani mwangu.”

Shirikisha
Zaburi 95 NEN