Ufunuo 11:11
Ufunuo 11:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na baada ya siku hizo tatu u nusu, roho ya uhai itokayo kwa Mungu ikawaingia, wakasimama kwa miguu yao; na hofu kuu ikawaangukia watu waliowatazama.
Shirikisha
Soma Ufunuo 11Ufunuo 11:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini baada ya zile siku tatu na nusu pumzi ya uhai kutoka kwa Mungu iliwaingia, nao wakasimama; wote waliowaona wakaingiwa na hofu kuu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 11