Ufunuo 19:12-13
Ufunuo 19:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Macho yake ni kama mwali wa moto, na alikuwa amevaa taji nyingi kichwani. Alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa tu yeye mwenyewe. Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na macho yake yalikuwa kama muali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe. Naye amevikwa vazi lililoloweshwa katika damu, na jina lake anaitwa, Neno la Mungu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19Ufunuo 19:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na macho yake yalikuwa kama mwali wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi; naye ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu ila yeye mwenyewe. Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa, Neno la Mungu.
Shirikisha
Soma Ufunuo 19