Waroma 10:9
Waroma 10:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba Yesu ni Bwana na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
Shirikisha
Soma Waroma 10