40 Siku pamoja na YesuMfano

Mfano wa mpanzi
Luka 8:4-15
- Je, moyo wangu upo katika udongo wa aina gani leo?
- Ni mambo gani yananifanya nisifanane na aina ya udongo ambao Yesu anataka nifanane nao?
- Ni mambo gani nayotakiwa kufanya ili niendelee kuzaa matunda?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/