40 Siku pamoja na YesuMfano
Kujaribiwa
Luka 22:63-71
- Ninajifunza nini katika majibu ya Yesu?
- Ninaweka imani yangu kwa nani ninapokuwa kwenye matatizo?
- Ninafanya nini wakati mtu anaponitishia katika njia yangu ya maisha?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?
More
Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/