Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

40 Siku pamoja na YesuMfano

40 Siku pamoja na Yesu

SIKU 9 YA 40

Kuchagua wanafunzi kumi na mbili

Luka 5:27-28, 6:12-16

  1. Ni kwa namna ipi Yesu alichagua wale wanafunzi wake kumi na mbili waliokuwa karibu yake?
  2. Wakati Yesu anasema "Nifuate" ina maana gani kwangu? 
  3. Natumiaje ile njia aliyoitumia Yesu katika kufanya uchaguzi?
siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

40 Siku pamoja na Yesu

Ni kitu gani ambacho Bwana Yesu anakithamini na kukihesabu kama ujira? Bwana Yesu ananiambia nini?

More

Tungependa kumshukuru MentorLink kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.mentorlink.org/index.php/resources/days-with-jesus/