Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 6 YA 31

"Abramu" ni jina alilokuwa nalo kwanza Ibrahimu. Amezaliwa katika ukoo wa Shemu, mwana wa Nuhu. Majina ya ukoo huu yameorodheshwa kuanzia m.10 hadi m.26. Baba yake Abramu ni Tera. Tera akaamua kuhama na familia yake: Wakatoka wote katika Uru wa Wakaldayo, waende nchi ya Kanaani, wakafika mpaka Harani wakakaa huko (m.31). Tera alikusudia kufika "nchi ya Kanaani", lakini hakufika. Labda kutokana na uzee, afari yake ikakoma Harani (m.32: Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani). Tazama ramani za Biblia kuhusu safari yake!

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wathesalonike na Zaburi.

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana