BibleProject | Tafakari ya Ujio wa YesuMfano
Neno la Kiebrania la amani ni shalom, na hufafanua kukosekana kwa migogoro pamoja na uwepo wa utimilifu, upatanisho na haki.
Soma:
MITHALI 16:7
Tafakari:
Kwa kuzingatia ulichojifunza katika Biblia hadi sasa. Taja tabia tano (mawazo, vitendo, au maneno) unazoamini zinampendeza Mungu.
Unafikiri tabia hizi zinawezaje kuleta amani hata kati ya maadui?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
BibleProject ilibuni Tafakari ya Ujio wa Yesu ili kuhamasisha watu mmoja mmoja, vikundi vidogo vidogo, na familia kusherehekea majilio, au kuwasili kwa Yesu. Mwongozo huu wa wiki nne unashirikisha video za kikatuni, mihutasari mifupi, na maswali ya kutafakari ili kuwasaidia washiriki kuchunguza maana ya Biblia ya tumaini, amani, furaha, na upendo. Chagua mwongozo huu ili kujifunza jinsi maadili haya manne yamefika ulimwenguni kupitia kwa Yesu.
More
Tungependa kushukuru BibleProject kwa kutoa Mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com