Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

SIKU 9 YA 31

Wokovu katika maono yaliyotangulia utaendana na hukumu. Mungu anatuma gombo lirukalo. Gombo ni kitabu. Linabeba maana gani? M.3 unatoa jibu: Ndiyo laana ya Mungu itokayo kwenda juu ya uso wa nchi yote. Kwa upande mmoja wa gombo imeandikwa hukumu ya kila aibaye, kwa upande mwingine imeandikwa hukumu ya kila aapaye kwa uongo. Hukumu ya Mungu ipo kwa kila anayepotoka katika uovu. Madhara ya uovu yatamtokea kila mtu kwa kadri ya alivyotenda na anavyotenda. Yeyote asiyetubu dhambi hatadumu.

Andiko

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022

Soma Biblia Kila Siku Julai/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Julai pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Zakaria na Luka. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/