Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Miujiza ya YesuMfano

Miujiza ya Yesu

SIKU 5 YA 9

Yesu Atembea Juu Ya Maji

Wanafunzi wakiwa kati ya dhoruba, Yesu atembea juu ya maji kuelekea mashua yao. Petro

ajaribu kutembea majini kukutana na Yesu kwenye ziwa.

Swali 1: Kama ungeshuhudia muujiza uliohusiana na Yesu na kitendo cha ajabu, je muujiza huo

ungefanana aje? Nani angekuwa hapo? Matokeo yangekuwa yapi?

Swali 2: Je kuna wakati ambapo Yesu alikuponya kutoka kwa dhoruba na imani yako ikashuka?

Swali 3: Je, kufahamu kwamba Yesu anaweza kutuokoa kutoka kwa wakati wa dhoruba ya

kutisha kunaweza kuimarishaje imani yetu kwake?

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Miujiza ya Yesu

Chunguza miujiza ya Yesu, kila mmojawapo ukidhihirisha utambulisho wake kama Mwana wa Mungu. Video fupi yaeleza kila upande wa hadithi kwa kila siku ya mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg