Uponyaji wa YesuMfano
Yesu Awaponya Mama Mkwe wa Petro
Mama mkwe wa Petro agonjeka kwa homa, na Yesu amponya.
Swali 1: Kama matakwa ya Yesu yangefanyika na Shetani hangekuwepo kamwe, je maisha ingekuwaje?
Swali 2: Ni wakati wewe, ama mtu unayemfahamu alikuwa mgonjwa zaidi? Yesu alionyeshaje huruma zake katika hali hiyo?
Swali 3: Ni kwa nini tusilaumu mapepo kwa magonjwa yote na ile ya kupagawa, ingawa mengine yazo yanawezatokana na mapepo?
Andiko
Kuhusu Mpango huu
Chunguza jinsi Yesu alivyo onyesha nguvu na huruma yake alipokuwa anaponya watu wakati alipokuwa duniani. Video fupi inaangazia mmoja wa wale watu Yesu aliponya kwa kila siku ya mpango wa sehemu 12.
More
Tungependa kuwashukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.gnpi.org/tgg