Neno Moja Litakalobadilisha Maisha YakoMfano
Uwezo wa Neno Moja
Weka
Maazimio ya Mwaka Mpya hayafanyi kazi!
50% ya wanaounda maazimio hufeli mwisho wa Januari na watu 9 kwa 10 huacha kabla ya Machi! Kwa hivyo, badala ya maazimio, pata Neno Moja la mwaka... lakini kuwa makini! Linaweza likakubadilisha.
Kama una mawazo ya "Kufanya yafanyike" kama sisi, umefanya mgao wako wa kuweka–lengo mwanzo wa kila Mwaka Mpya. Hata hivyo, muda unapoyoyoma, tulisikitishwa kwa upungufu wa mipango yetu kabambe. Tulijaribu kufanya mengi na matokeo; hatukufanya chochote vyema
Mwaka wa 1999, tulianza nidhamu ya kuanzisha mada ya Neno Moja kwa ajili ya mwaka ujao. Ndio—Neno Moja. Sio maneno au taarifa, neno moja tu. Kwa kulenga tu neno moja tumepata kukutana na mabadiliko ya maisha ya ajabu mwaka baada ya mwaka. Unapogundua Neno lako Moja la Mwaka, linakupatia uwazi zaidi, upendo na lengo la maisha.
Zoezi la Neno Moja huleta unyenyekevu na lengo. Unapita kati ya ukinzani na kutusaidia kulenga yale mambo ya muhimu. Limetunyoosha katika kila maeneo: kiroho, kimwili, kiakili, kihisia, kiuhusiano na kifedha. Mungu ametubadilisha kupitia zoezi hili; Mungu hufurahia maisha ya mabadiliko.
Kuna sababu kwa nini sisi husema, "Pata Neno Moja la Mwaka...lakini kuwa makini." Unapopata neno lako, punde si punde vita vitaanza. Litaanzisha mchakato wa mafundisho, wa kukua, wa kusafisha na wa kuunda. Mungu atatumia neno lako kama mwanga na kio – akimulika njia yako na kukuonyesha vitu ambavyo vinahitaji kubadilika. Litawezesha safari kuu ya mabonde na milima yote yakiwa yameundwa kukufanya uwe mtu ambaye uliumbwa kuwa.
Ni matumaini yetu kuwa Mungu atakuonyehsa haraka mpango wake wa mwaka kuhusu Neno lako Moja. Neno hilo (liwe somo, tunda la Roho, tabia bainishi au sifa ya Mungu) litakubadilisha mwaka mzima! Kwa hiyo, gundua Neno lako la mwaka na uwaambie wengine! Linaweza likabadili maisha yako!
Nenda
1. Ni nini Mungu anakuambia mwaka uliopita?2. Ni sehemu zipi maishani mwako ambazo Mungu anataka kuzishika na kuzitumia kwa utukufu wake?
3. Ni jinsi gani Mungu anataka kukuweka kwa ajili ya mwaka ujao?
Fanya Mazoezi
Zaburi 27:1-14; Luka 18:22; Marko 10:21
Muda wa Ziada
""Bwana Mungu, naomba ukaufanye uwe mwaka wa kubadili maisha. Nionekanie ukinionyesha ni nini mada ya Neno Langu Moja itakuwa. Nijaze na Roho Mtakatifu. Ninatambua kuwa ni safari ya kujifundisha na wala sio kazi ya kutimiza. Nipe nguvu ninapoishi kwa Neno Langu Moja kila siku Katika jina la Yesu, amina.""

Kuhusu Mpango huu
NENO MOJA husaidia kurahisisha maisha yako kwa kulenga tu NENO MOJA kwa mwaka mzima. Urahisishaji wa kugundua neno ambalo Mungu amekuwekea inafanya kuwa kichochezi cha maisha yako kubadilika. Vurugu na utata husababisha kuchelewesha na kulemaza, ilhali urahisishaji na lengo husababisha mafanikio na uwazi. Ibada hii ya siku nne inakuonyesha jinsi ya kupata kiini cha nia yako kwa maono ya neno moja kwa mwaka.
More
Tungependa kushukuru Jon Gordon, Dan Britton na Jimmy Page kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.getoneword.com