1
Yn 5:24
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.
సరిపోల్చండి
Explore Yn 5:24
2
Yn 5:6
Yesu alipomwona huyu amelala, naye akijua ya kuwa amekuwa hali hiyo siku nyingi, alimwambia, Wataka kuwa mzima?
Explore Yn 5:6
3
Yn 5:39-40
Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake; na hayo ndiyo yanayonishuhudia. Wala hamtaki kuja kwangu mpate kuwa na uzima.
Explore Yn 5:39-40
4
Yn 5:8-9
Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
Explore Yn 5:8-9
5
Yn 5:19
Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile.
Explore Yn 5:19
హోమ్
బైబిల్
ప్రణాళికలు
వీడియోలు