Logo ng YouVersion
Hanapin ang Icon

Mwanzo 1:26-27

Mwanzo 1:26-27 NEN

Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, wakatawale juu ya samaki wa baharini na ndege wa angani, juu ya mifugo, juu ya dunia yote, na juu ya viumbe wote watambaao juu ya nchi.” Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.

Mga Libreng Babasahing Gabay at Debosyonal na may kaugnayan sa Mwanzo 1:26-27