Yohana 7:39
Yohana 7:39 NENO
Yesu aliposema haya, alimaanisha Roho Mtakatifu, ambaye wote waliomwamini wangempokea. Kwa maana hadi wakati huo Roho alikuwa hajatolewa, kwa kuwa Yesu alikuwa bado hajatukuzwa.