1
Yohana 3:16
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
So sánh
Khám phá Yohana 3:16
2
Yohana 3:17
Kwa maana Mungu hakumtuma Mwanawe kuuhukumu ulimwengu, bali kupitia kwake ulimwengu upate kuokolewa.
Khám phá Yohana 3:17
3
Yohana 3:3
Isa akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona ufalme wa Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.”
Khám phá Yohana 3:3
4
Yohana 3:18
Yeyote amwaminiye hahukumiwi, lakini asiyeamini amekwisha kuhukumiwa, kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Khám phá Yohana 3:18
5
Yohana 3:19
Hii ndiyo hukumu: Kwamba nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko nuru, kwa sababu matendo yao ni maovu.
Khám phá Yohana 3:19
6
Yohana 3:30
Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kupungua.
Khám phá Yohana 3:30
7
Yohana 3:20
Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.
Khám phá Yohana 3:20
8
Yohana 3:36
Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake.”
Khám phá Yohana 3:36
9
Yohana 3:14
Kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu
Khám phá Yohana 3:14
10
Yohana 3:35
Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mkononi mwake.
Khám phá Yohana 3:35
Trang chủ
Kinh Thánh
Kế hoạch
Video