1
Mwanzo 2:24
Neno: Bibilia Takatifu
Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Thelekisa
Phonononga Mwanzo 2:24
2
Mwanzo 2:18
BWANA Mungu akasema, “Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Phonononga Mwanzo 2:18
3
Mwanzo 2:7
BWANA Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Phonononga Mwanzo 2:7
4
Mwanzo 2:23
Huyo mwanaume akasema, “Huyu sasa ni mfupa wa mifupa yangu na nyama ya nyama yangu, ataitwa ‘mwanamke,’ kwa kuwa alitolewa katika mwanaume.”
Phonononga Mwanzo 2:23
5
Mwanzo 2:3
Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.
Phonononga Mwanzo 2:3
6
Mwanzo 2:25
Adamu na mkewe wote wawili walikuwa uchi, wala hawakuona aibu.
Phonononga Mwanzo 2:25
Ekuqaleni
IBhayibhile
Izicwangciso
Iividiyo