Luka 4:18-19

Luka 4:18-19 SWC02

“Roho wa Bwana yuko pamoja nami, maana amenichagua niwahubirie wamasikini Habari Njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kwamba watakombolewa nao vipofu kwamba wataona. Amenituma kuwapa wanaoteswa uhuru, na kutangaza mwaka ambao Bwana atawajalia watu neema.”