Luka 5:5-6

Luka 5:5-6 SWC02

Simoni akajibu: “Mwalimu, tumetumika usiku kucha bila kupata kitu. Lakini kwa sababu umeniambia, nitashusha nyavu.” Na waliposhusha nyavu, wakanasa samaki wengi sana hata nyavu zao zikaanza kupasuka.