1
Yohana MT. 13:34-35
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Amri mpya nawapeni, mpendane; kama vile nilivyowapenda ninyi, na ninyi mpendane vivyo hivyo. Hivi watu wote watajua ya kuwa m wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.
Qhathanisa
Hlola Yohana MT. 13:34-35
2
Yohana MT. 13:14-15
Bassi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewatawadha miguu, imewapasa ninyi nanyi kutawadhana miguu. Kwa kuwa nimewapeni mfano illi hayo niliyowatendea ninyi, na ninyi mtende yayo hayo.
Hlola Yohana MT. 13:14-15
3
Yohana MT. 13:7
Yesu akajibu, akamwambia, Nifanyayo mimi, wewe huyafahamu sasa; lakini utayajua baadae.
Hlola Yohana MT. 13:7
4
Yohana MT. 13:16
Amin, amin, nawaambieni, Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake: wala mtume si mkuu kuliko yeye aiiyempeleka.
Hlola Yohana MT. 13:16
5
Yohana MT. 13:17
Mkiyajua hayo, m kheri mkiyatenda.
Hlola Yohana MT. 13:17
6
Yohana MT. 13:4-5
akaondoka chakulani, akaweka kando mavazi yake, akatwaa kitambaa, akajifungia. Kiisha akatia maji katika bakuli, akaanza kuwatawadha wanafunzi miguu yao, na kuifuta kwa kile kitambaa alichojifungia.
Hlola Yohana MT. 13:4-5
Ikhaya
IBhayibheli
Amapulani
Amavidiyo