1
Luka MT. 11:13
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bassi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, Baba aliye mbinguni, je! hatazidi na kuwapa wote wamwombao Roho Mtakatifu?
مقایسه
Luka MT. 11:13 را جستجو کنید
2
Luka MT. 11:9
Nami nawaambia ninyi, Ombeni na mtapewa: tafuteni na mtapata: bisheni na mtafunguliwa.
Luka MT. 11:9 را جستجو کنید
3
Luka MT. 11:10
Kwa sababu killa aombae hupewa: nae atafutae hupata: nae abishae hufunguliwa.
Luka MT. 11:10 را جستجو کنید
4
Luka MT. 11:2
Akawaambia, Msalipo, semeni: Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako takatifu litukuzwe.
Luka MT. 11:2 را جستجو کنید
5
Luka MT. 11:4
Utupe leo riziki zetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa maana sisi nasi tunamsamehe killa mtu anaewiwa nasi. Usituingize majaribuni, hali utuokoe na yule mwovu.
Luka MT. 11:4 را جستجو کنید
6
Luka MT. 11:3
Ufalme wako uje. Mapenzi yako yatimizwe, kama mbinguni, kadhalika duniani.
Luka MT. 11:3 را جستجو کنید
7
Luka MT. 11:34
Taa ya mwili ni jicho, bassi jicho lako likiwa safi, mwili wako wote nna nuru, lakini jicho lako likiwa ovu, mwili wako nao una giza.
Luka MT. 11:34 را جستجو کنید
8
Luka MT. 11:33
Hapana mtu awashae taa na kuiweka mahali pa siri au chini va pishi, bali huiweka juu ya kibao cha kuwekea taa: illi waingiao wanone mwanga.
Luka MT. 11:33 را جستجو کنید
خانه
كتابمقدس
برنامههای مطالعه
ویدیوها