1
Luka 17:19
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ndipo Yesu akamwambia, “Inuka! Unaweza kwenda. Umeponywa kwa sababu uliamini.”
Usporedi
Istraži Luka 17:19
2
Luka 17:4
Hata kama akikukosea mara saba katika siku moja, lakini akakuomba msamaha kila anapokukosea, msamehe.”
Istraži Luka 17:4
3
Luka 17:15-16
Mmoja wao alipoona kuwa amepona, alirudi kwa Yesu huku akimsifu Mungu kwa kupaza sauti. Akaanguka kifudifudi miguuni pa Yesu, akamshukuru. (Alikuwa Msamaria.)
Istraži Luka 17:15-16
4
Luka 17:3
Hivyo iweni waangalifu! Ikiwa ndugu au dada yako katika familia ya Mungu akikukosea, umwonye. Akitubu, msamehe.
Istraži Luka 17:3
5
Luka 17:17
Yesu akasema, “Watu kumi wameponywa, wengine tisa wako wapi?
Istraži Luka 17:17
6
Luka 17:6
Bwana akasema, “Imani yenu ingekuwa kubwa kama mbegu ya haradali, mngeuambia mforosadi huu, ‘Ng'oka, ukajipandikize baharini,’ nao ungewatii.
Istraži Luka 17:6
7
Luka 17:33
Kila atakayejaribu kutunza maisha aliyonayo atayaangamiza. Lakini yeyote atakayeyasalimisha maisha yake atayaokoa.
Istraži Luka 17:33
8
Luka 17:1-2
Yesu akawaambia wafuasi wake, “Mambo yanayosababisha watu kutenda dhambi yatatokea hakika. Lakini ole wake mtu anayesababisha hili litokee. Ingekuwa vizuri kwa mtu huyo kama jiwe la kusagia lingefungwa shingoni mwake, na akatupwa baharini, kuliko kusababisha mmojawapo wa wanyenyekevu hawa kutenda dhambi.
Istraži Luka 17:1-2
9
Luka 17:26-27
Mwana wa Adamu atakaporudi, itakuwa kama ilivyokuwa Nuhu alipoishi. Watu walikuwa wakila, wakinywa, wakioa na kuolewa hata siku Nuhu alipoingia katika safina. Ndipo gharika ilikuja na kuwaangamiza wote.
Istraži Luka 17:26-27
Početna
Biblija
Planovi
Filmići