YouVersion logo
Ikona pretraživanja

Yohana 12:13

Yohana 12:13 TKU

Hawa walibeba matawi ya miti ya mitende na kwenda kumlaki Yesu. Pia walipiga kelele wakisema, “‘Msifuni Yeye!’ ‘Karibu! Mungu ambariki yeye anayekuja kwa jina la Bwana!’ Mungu ambariki Mfalme wa Israeli!”

Slika stiha za Yohana 12:13

Yohana 12:13 - Hawa walibeba matawi ya miti ya mitende na kwenda kumlaki Yesu. Pia walipiga kelele wakisema,
“‘Msifuni Yeye!’
‘Karibu! Mungu ambariki yeye
anayekuja kwa jina la Bwana!’
Mungu ambariki Mfalme wa Israeli!”