Logo ya YouVersion
Elilingi ya Boluki

1 Mose 9:12-13

1 Mose 9:12-13 SRB37

Kisha Mungu akasema: Agano hili, mimi ninalolifanya nanyi nao nyama wote wenye uzima wanaokaa kwenu, litakuwa nalo lao vizazi vya kale na kale, nacho kielekezo chake ni hiki: nimeuweka upindi wangu mawinguni, nao utakuwa kielekezo cha agano, mimi nililoliagana na nchi.