1
Yohana 5:24
Swahili Roehl Bible 1937
Kweli kweli nawaambiani: Mtu anayelisikia neno langu na kumtegemea aliyenituma anao uzima wa kale na kale, hafiki penye hukumu, ila ametoka penye kufa na kuingia penye uzima.
Uporedi
Istraži Yohana 5:24
2
Yohana 5:6
Yesu alipomwona huyo, anavyolala, akatambua, ya kuwa imemwishia hapo miaka mingi, akamwambia: Unataka kuwa mzima?
Istraži Yohana 5:6
3
Yohana 5:39-40
*Chunguzeni katika Maandiko! Kwani ninyi hudhani: Humo ndimo, mtakamopatia uzima wa kale na kale. Nayo ndiyo kweli yanayonishuhudia. Lakini ninyi hamtaki kuja kwangu, mpate uzima.
Istraži Yohana 5:39-40
4
Yohana 5:8-9
Yesu akamwambia: Inuka, jitwishe kitanda chako, upate kwenda zako! Papo hapo yule mtu akawa mzima, akajitwisha kitanda chake, akaenda zake.
Istraži Yohana 5:8-9
5
Yohana 5:19
*Yesu akajibu, akawaambia: Kweli kweli nawaambiani: Hakuna, Mwana awezacho kukifanya kwa nguvu yake, asipokuwa amemwona Baba, anavyokifanya. Kwani yule anavyovifanya, hivyo naye Mwana huvifanya vile vile.
Istraži Yohana 5:19
Početna
Biblija
Planovi
Video zapisi