1
1 Timotheo 3:16
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: Alidhihirishwa katika mwili, akathibitishwa kuwa na haki katika Roho wa Mungu, akaonekana na malaika, akahubiriwa miongoni mwa mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, akachukuliwa juu katika utukufu.
Linganisha
Chunguza 1 Timotheo 3:16
2
1 Timotheo 3:2
Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha
Chunguza 1 Timotheo 3:2
3
1 Timotheo 3:4
Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia.
Chunguza 1 Timotheo 3:4
4
1 Timotheo 3:12-13
Shemasi awe mume wa mke mmoja, na aweze kusimamia watoto wake na watu wa nyumbani mwake vyema. Wale ambao wamehudumu vyema katika huduma ya ushemasi hujipatia msimamo bora na ujasiri mkubwa katika imani yao ndani ya Al-Masihi Isa.
Chunguza 1 Timotheo 3:12-13
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video