1
1 Timotheo 5:8
Neno: Bibilia Takatifu
Kama mtu hawatunzi wale wa jamaa yake, hasa wale wa nyumbani mwake mwenyewe, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.
Linganisha
Chunguza 1 Timotheo 5:8
2
1 Timotheo 5:1
Usimkemee mzee kwa ukali bali umshawishi kama vile angekuwa ni baba yako. Uwatendee vijana kama vile ndugu zako
Chunguza 1 Timotheo 5:1
3
1 Timotheo 5:17
Wazee wa kanisa wanaoongoza shughuli za kanisa vizuri wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhubiri na kufundisha.
Chunguza 1 Timotheo 5:17
4
1 Timotheo 5:22
Usiwe na haraka kumwekea mtu mikono wala usishiriki dhambi za watu wengine. Jilinde nafsi yako uwe safi.
Chunguza 1 Timotheo 5:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video