1
2 Yohana 1:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Hili ndilo pendo: kwamba tuenende kwa kuzitii amri zake. Hii ndiyo amri yake kama vile mlivyosikia tangu mwanzo, kwamba mwenende katika upendo.
Linganisha
Chunguza 2 Yohana 1:6
2
2 Yohana 1:9
Mtu yeyote asiyedumu katika mafundisho ya Al-Masihi bali ameyaacha, yeye hana Mungu. Yeyote anayedumu katika mafundisho ana Baba na Mwana pia.
Chunguza 2 Yohana 1:9
3
2 Yohana 1:8
Jihadharini msije mkapoteza kile mlichokitenda, bali mpate kupewa thawabu kamilifu.
Chunguza 2 Yohana 1:8
4
2 Yohana 1:7
Wadanganyifu wengi, wasiokubali kwamba Isa Al-Masihi amekuja katika mwili, wametawanyika ulimwenguni. Mtu kama huyo ni mdanganyifu na anampinga Al-Masihi.
Chunguza 2 Yohana 1:7
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video