1
Danieli 4:34
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Mwisho wa wakati huo, mimi Nebukadneza niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. Utawala wake ni utawala wa milele; ufalme wake hudumu kizazi hadi kizazi.
Linganisha
Chunguza Danieli 4:34
2
Danieli 4:37
Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu anachofanya ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao wanaoenda kwa kiburi anaweza kuwashusha.
Chunguza Danieli 4:37
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video