Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 4:37

Danieli 4:37 NEN

Basi mimi, Nebukadneza, humhimidi, na humtukuza na kumsifu Mfalme wa mbinguni, kwa sababu kila kitu afanyacho ni haki, na njia zake zote ni adili. Nao waendao kwa kiburi anaweza kuwashusha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 4:37