1
Kumbukumbu 23:23
Neno: Bibilia Takatifu
Chochote kitakachotamkwa kwa midomo yako ni lazima uhakikishe umekifanya, kwa sababu uliweka nadhiri yako kwa hiari mbele za BWANA Mungu wako kwa kinywa chako mwenyewe.
Linganisha
Chunguza Kumbukumbu 23:23
2
Kumbukumbu 23:21
Ukiweka nadhiri kwa BWANA Mungu wako, usichelewe kuitimiza, kwa kuwa BWANA Mungu wako atakudai, nawe utakuwa na hatia ya dhambi.
Chunguza Kumbukumbu 23:21
3
Kumbukumbu 23:22
Lakini ukijizuia kuweka nadhiri, hutakuwa na hatia.
Chunguza Kumbukumbu 23:22
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video