1
Isaya 23:18
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Lakini faida na mapato yake yatawekwa wakfu kwa BWANA; hayatahifadhiwa wala kufichwa. Faida zake zitaenda kwa wale wanaoishi mbele za BWANA kwa ajili ya chakula tele na mavazi mazuri.
Linganisha
Chunguza Isaya 23:18
2
Isaya 23:9
BWANA wa majeshi ndiye alipanga jambo hili, ili kukishusha kiburi cha utukufu wote na kuwanyenyekeza wale wote ambao ni mashuhuri duniani.
Chunguza Isaya 23:9
3
Isaya 23:1
Neno la unabii kuhusu Tiro: Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, imeachwa bila nyumba wala bandari. Kuanzia nchi ya Kitimu neno limewajia.
Chunguza Isaya 23:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video