1
Yoeli 2:12
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Hata sasa,” asema Mwenyezi Mungu, “nirudieni kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza.”
Linganisha
Chunguza Yoeli 2:12
2
Yoeli 2:28
“Hata itakuwa, baada ya hayo, nitamimina Roho wangu Mtakatifu juu ya wote wenye mwili. Wana wenu wa kiume na wa kike watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono.
Chunguza Yoeli 2:28
3
Yoeli 2:13
Rarueni mioyo yenu na siyo mavazi yenu. Mrudieni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kwa maana yeye ndiye mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo, huona huruma, hujizuia kuleta maafa.
Chunguza Yoeli 2:13
4
Yoeli 2:32
Na kila mtu atakayeliitia jina la Mwenyezi Mungu ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwa na wokovu, kama Mwenyezi Mungu alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao Mwenyezi Mungu awaita.
Chunguza Yoeli 2:32
5
Yoeli 2:31
Jua litageuzwa kuwa giza na mwezi kuwa mwekundu kama damu, kabla ya kuja siku ya Mwenyezi Mungu ile kuu na ya kutisha.
Chunguza Yoeli 2:31
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video