1
Walawi 18:22
Neno: Bibilia Takatifu
“ ‘Usikutane kimwili na mwanaume kama mtu akutanaye na mwanamke; hilo ni chukizo.
Linganisha
Chunguza Walawi 18:22
2
Walawi 18:23
“ ‘Usikutane kimwili na mnyama na kujitia unajisi kwake. Mwanamke asijipeleke kwa mnyama ili kukutana naye kimwili; huo ni upotovu.
Chunguza Walawi 18:23
3
Walawi 18:21
“ ‘Usimtoe mtoto wako yeyote awe kafara kwa mungu Moleki, kwani hutalinajisi kamwe jina la Mungu wako. Mimi ndimi BWANA.
Chunguza Walawi 18:21
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video