1
Mika 1:3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Tazama! Mwenyezi Mungu anakuja kutoka mahali pake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia.
Linganisha
Chunguza Mika 1:3
2
Mika 1:1
Neno la Mwenyezi Mungu lilimjia Mika Mmoreshethi wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda, ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu.
Chunguza Mika 1:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video