1
Mika 3:8
Neno: Bibilia Takatifu
Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, nimejazwa Roho wa BWANA, haki na uweza, kumtangazia Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake.
Linganisha
Chunguza Mika 3:8
2
Mika 3:11
Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. Hata hivyo wanamwegemea BWANA na kusema, “Je, BWANA si yumo miongoni mwetu? Hakuna maafa yatakayotupata.”
Chunguza Mika 3:11
3
Mika 3:4
Kisha watamlilia BWANA, lakini hatawajibu. Wakati huo atawaficha uso wake kwa sababu ya uovu waliotenda.
Chunguza Mika 3:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video