1
Mika 7:18
Neno: Bibilia Takatifu
Ni nani Mungu kama wewe, ambaye anaachilia dhambi na kusamehe makosa ya mabaki ya urithi wake? Wewe huwi na hasira milele, bali unafurahia kuonyesha rehema.
Linganisha
Chunguza Mika 7:18
2
Mika 7:7
Lakini mimi, namtazama BWANA kwa matumaini, namngoja Mungu Mwokozi wangu; Mungu wangu atanisikia mimi.
Chunguza Mika 7:7
3
Mika 7:19
Utatuhurumia tena, utazikanyaga dhambi zetu chini ya nyayo zako, na kutupa maovu yetu yote katika vilindi vya bahari.
Chunguza Mika 7:19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video