1
Filemoni 1:6
Neno: Bibilia Takatifu
Naomba utiwe nguvu katika kuishuhudia imani yako, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu juu ya kila kitu chema tulicho nacho ndani ya Kristo.
Linganisha
Chunguza Filemoni 1:6
2
Filemoni 1:7
Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu.
Chunguza Filemoni 1:7
3
Filemoni 1:4
Siku zote ninamshukuru Mungu ninapokukumbuka katika maombi yangu
Chunguza Filemoni 1:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video