1
Filemoni 1:6
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Naomba utiwe nguvu katika kushiriki imani yako na wengine, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu wa kila kitu chema tunachoshiriki kwa ajili ya Al-Masihi.
Linganisha
Chunguza Filemoni 1:6
2
Filemoni 1:7
Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu.
Chunguza Filemoni 1:7
3
Filemoni 1:4
Siku zote ninamshukuru Mungu wangu ninapokukumbuka katika maombi yangu
Chunguza Filemoni 1:4
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video